Utambulisho-Mubii

Mubii

Senior Member
Joined
Jul 24, 2008
Posts
153
Reaction score
29
Ndugu zangu napenda kujitambulisha. Naitwa Muberwa ninaishi Dar es Salaam. Nimefurahi sana kujiunga nanyi katika mtandao huu. Nawatakia majadiliano mema na siku njema.
 
Ndugu zangu napenda kujitambulisha. Naitwa Muberwa ninaishi Dar es Salaam. Nimefurahi sana kujiunga nanyi katika mtandao huu. Nawatakia majadiliano mema na siku njema.
Karibu mkuu, tunatarajia kupata mengi toka kwako.
 
Karibu sana kwenye Home of Great Thinker, tunategemea mawazo yaliyoshiba kutoka kwako.
 
Kona ya Vinyozi hii,Njoo unyoe na kunyolewa,Wakati ukuta Usihangaike nao.Karibu Jamvini kwetu.
 
Karibu sana jamvini kwetu Muberwa na ujisikie huru kwa kuchangia katika mijadala mbali mbali hapa jamvini. Kwa mara nyingine tena sana karibu sana.
 
Ndugu zangu napenda kujitambulisha. Naitwa Muberwa ninaishi Dar es Salaam. Nimefurahi sana kujiunga nanyi katika mtandao huu. Nawatakia majadiliano mema na siku njema.

Karibu sana usiache wasiliana na Maxence Melo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…