utambulisho na msaada

kiwashey

Member
Joined
Apr 13, 2013
Posts
5
Reaction score
0
Mambo wana jf leo ndo my 1st time umu so naomba mnipokee
Ila pia nna tatzo naombeni ushaur mie ni msichana mdogo nnaejitegemea nna mpenz wangu ambae nampenda sana ila sasa tatzo linakuja kwamba hanijali hata kdogo yani hamna yale malove dav ktka kwake hata kdogo hayo yte nmeyavumilia ila sasa nna ujauzto wa mwez mmoja na wiki 2 nimemwambia kaniambia nictoe coz uwezo wa kulea anao ila sasa kumpata kwenyewe kumekua kwa manati na me apa ndo kamimba kananipelekesha balaa smetymz huwa nawaza kuachana nae ila now uwezo wa kujsupport na iki ki2mbo cna,wazo la mwsho lililonijia ni kutoa mimba ili nkatafute kaz niendelee na maisha yangu lakini roho inaniuma apa balaa kila nikikiwaza kijusi changu yaani nmekua m2 wa kulia 2 nahc ka dunia yte nimeibeba mgongoni ushaur jamani
 
... Karibu mwana wetu, na pole kwa yaliokusibu! Natumaini utapa ushauri mzuri hapa JF, Ila umegonga hopi na kuingia moja kwa moja kwenye meza ya chakula!
 
Msichana mdogo+mimba,unajitegemea huwezi kulea mimba,unampenda sana +unawaza kumtosa.Karibu JF ila husitoe mimba.
 
Asante

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Karibu sana jamvini, ukitembelea jukwaa la MMU utapata ushauri mzuri wa tatizo linalokukabili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…