Karibu sana jamvini.Naomba nipokelewe kwenye janvi maana nilikuwa msomaji si mchangiaji. Najisikia furaha na amani!!
Naomba nipokelewe kwenye janvi maana nilikuwa msomaji si mchangiaji. Najisikia furaha na amani!!
Jaman naomba mnisaidie jinsi yakuweka picha wapendwa wa jamii forums
Mbona rahisi? Simu au pc?Heee tayari nshapiga hila kila nikiweka inakataa nisaidie jamanii
Naomba nipokelewe kwenye janvi maana nilikuwa msomaji si mchangiaji. Najisikia furaha na amani!!
KaribuKalibu
Kwa simu ni ngumu sana ndugu yangu.Simu nisaidie jaman maan najaribu kila siku inakataa nisaidie katavi
hahahahaha hata wewe waweza kuwa mkaguzitangu lini Judgement akawa mkaguzi?