Utambulisho wa Elisha Kigahe

Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
 
Habari! Jina langu ni Elisha Kigahe. Nimevutiwa kuwa mmoja wa wajumbe wa JF. Naomba mnipokee.
Huna haja ya kujitambulisha sanaaa wewe changia, toa mada zenye uwezo wa Great thinker then boooom wote watakujua
 
Karibu sana JamiiForums...
 
Karibu sana ila kuna baadhi ya majukwaa hepuka sana kutaja neno 'chai' ukiwa hiko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…