Utambulisho wangu

kentony

Member
Joined
Oct 14, 2016
Posts
30
Reaction score
23
Hodi humu ndan mi ni member mpya naishi mkoa wa rukwa naomben ushirikiano wenu jaman
 
Na hiv we n me mmmh sijui kama utapokelewa kwa shangwe
Btw
Karibu sana Mmu jukwaa la kupunguza stress jf kule utamkuta Nyani Ngabu@geniverous@dinazarde@hance mtanashati@boniface salim na wengine weng tu wakina Iceman 3D
Ha ha ha ha kumbe mnajua wanaume hatuna mpango nao bora wewe umejitolea kumkarbisha aisee
 
Daadek habari za Rukwa mkuu???
 
Hodi humu ndan mi ni member mpya naishi mkoa wa rukwa naomben ushirikiano wenu jaman
Karibu sana Jf...unapaswa kuweka taarifa zako kama elimu,umri,kazi,kabila na chama chako cha siasa ili mods wakifanya uhakiki usiitwe member hewa!
 
Hodi humu ndan mi ni member mpya naishi mkoa wa rukwa naomben ushirikiano wenu jaman
Karibu...usitoe info zako zozote mwaya....fanya unachojisikia ila usivunje sheria za jf...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…