wanawake ni changamoto na ndio maana vitabu vya dini vilituambia tuishi nao kwa akili, hapo ni win win situation... Hapo cha muhimu tunayafuta yaliyopita na tunaanza kuangalia faida aliyoipata tufanye maendeleo ila litakua somo lazima aliegongwa na nyoka ashtuke kwa jani, na huwezi kumuacha over that incident...they have been in that way tangu Error ya Adam and eve