UTAMBULISHO

Sio kwa majina, ni jina... Hata hivyo, karibu JF...
 
fb.
 
Humu hatujianiki ivo mkuu Hata walio na ID real za majina yao wanazo Fake pia kwa ajili ya kuwa Huru kuongea lolote BTW karibu Sana JF the home of Greater thinkers
 
kumbuka pia ukitaka kuoa wachumba wanapatikana humuhumu
wapo warembo waliojaliwa kuwa hivyo

hivyo ukitaka kuoa tutakupa mke
uwe shemeji yetu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Karibu Wilson nimekupenda maana umekuwa mkweli na muwazi,na hata kutangaza kampuni yako kijanja kijanja
 
Humu hatujianiki ivo mkuu Hata walio na ID real za majina yao wanazo Fake pia kwa ajili ya kuwa Huru kuongea lolote BTW karibu Sana JF the home of Greater thinkers

Huyo point yake iko hapa:

Pia ni mwanzilishi wa kampuni ya Wilson Kaiser Corporation na taasisi za kijamii Wilson Kaiser Foundation na Noela Care.
 
Ndio ulivoskia kampuni yake, ukaamua kunitosa wa Dodoma ili ukimbilie Mbeya! Pole yako, wanachuna ngozi huko!
Anaweza akawa ana kampuni lakini bado hanunui hata soda, miss chagga anawajua watu kama hao, hahahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…