miss chagga mjasiriamali yule, hao wa hivo hawawezi. Mi naomba usibadili wazo la kuja Makao Makuu.Anaweza akawa ana kampuni lakini bado hanunui hata soda, miss chagga anawajua watu kama hao, hahahahah
hahahaha huko nitakuja kuna mkutano hahahahaha, tena nitakuwa na padiemu za nguvu hahahahamiss chagga mjasiriamali yule, hao wa hivo hawawezi. Mi naomba usibadili wazo la kuja Makao Makuu.
Kanuni ya perdiem si unaijua? Ni pesa za kujikimu safarini! Hupaswi kurudi nazo huko ulikopewa! Njoo best.hahahaha huko nitakuja kuna mkutano hahahahaha, tena nitakuwa na padiemu za nguvu hahahaha
Usijali tutaitumbua mwanzo mwisho ndio maana nikakuulizia hiyo hoteli ya CHAKO NCHAKOKanuni ya perdiem si unaijua? Ni pesa za kujikimu safarini! Hupaswi kurudi nazo huko ulikopewa! Njoo best.
Hapa CHAKO NCHAKO ni mabingwa wa NYAMA CHOMA! Njoo ujionee!Usijali tutaitumbua mwanzo mwisho ndio maana nikakuulizia hiyo hoteli ya CHAKO NCHAKO
ngoja apate pesa kwanza nitamkaribisha kwa mahaba yotemiss chagga mjasiriamali yule, hao wa hivo hawawezi. Mi naomba usibadili wazo la kuja Makao Makuu.
Ndio umpe kazi ktk kampuni yake ili apate pesa!ngoja apate pesa kwanza nitamkaribisha kwa mahaba yote
Sawa sawaHapa CHAKO NCHAKO ni mabingwa wa NYAMA CHOMA! Njoo ujionee!
hapana nitamrusha mwishowe achukue kazi yake bora aanze na wengine mimi nitakuja kumtapelei baadae kidogoNdio umpe kazi ktk kampuni yake ili apate pesa!
Daaah. Wewe sikuwezi. Nawaachia wenye nguvu!hapana nitamrusha mwishowe achukue kazi yake bora aanze na wengine mimi nitakuja kumtapelei baadae kidogo
Ni kweli BossHuyo point yake iko hapa:
sawa tu ila nitakuviziaDaaah. Wewe sikuwezi. Nawaachia wenye nguvu!
Najifunza kukukwepa! Ngoja niguugo!sawa tu ila nitakuvizia
ha hahaa na mi ngoja niguugo nikuweke karibuNajifunza kukukwepa! Ngoja niguugo!