nzoka ya pi
Senior Member
- May 16, 2017
- 153
- 107
Karibu sana JFNdugu wanajukwaa kwa heshima na taadhima kuu naomba mnipokee Kundini mimi mwanachama mpya humu.ahsante
Mgeni mzuri mambo?Karibu mgen mwenzangu
Salama kabisa mpendwa mambo vpMgeni mzuri mambo?
[emoji32][emoji32][emoji32]Salama kabisa mpendwa mambo vp
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji32][emoji32][emoji32]
Na ww pia karibuKaribu mgen mwenzangu
Hajapewa salamu yeye nashangaa anaitika![emoji32][emoji32][emoji32][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Taratibu mkuu nitaendana na kasiHajapewa salamu yeye nashangaa anaitika![emoji32][emoji32][emoji32]