Ingia kwenye akaunti yako sehemu hiyo click ya taswira ya mtu alafu itakuja sehemu ya kuchagua gallery au camera ktk simu yako alafu una upload
Nmejaribu sana ku click ad dole linataka kuvimba aiseeIngia kwenye akaunti yako sehemu hiyo click ya taswira ya mtu alafu itakuja sehemu ya kuchagua gallery au camera ktk simu yako alafu una upload
Sent using Jamii Forums mobile app
Inakuletea nin? Au mtandao?
Na click hakuna kitu knakuja meib n system errorInakuletea nin? Au mtandao?
Maana lazima itakuja sehemu 2 picha (picture)na camera alafu una chagua
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo miaka umeweka sisi inatuhusu nini hapa inahitajika kujua wewe ni ke au ni me basi na kama inahitajika zaidi labda kujua wewe una unga mkono chama kipi
Poa Asante SanaHiyo miaka umeweka sisi inatuhusu nini hapa inahitajika kujua wewe ni ke au ni me basi na kama inahitajika zaidi labda kujua wewe una unga mkono chama kipi
Nakuzingua bhana karibu mkubwa
Ashakuwa rafiki yako mara hii? Au kwa kuwa ni mdada (joking).
[emoji23] Asante SanaAshakuwa rafiki yako mara hii? Au kwa kuwa ni mdada (joking).
Karibu sana.