figisufigusi Member Joined Jul 21, 2016 Posts 13 Reaction score 6 Oct 2, 2018 #1 Habari wanajamvi nmerudi kwenye jamvi kwa ajili ya kupata mambo moto moto..
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,021 Reaction score 79,710 Oct 2, 2018 #2 Tumesitisha teuzi. Rudi ulipotoka.
R RtsHjcq JF-Expert Member Joined Aug 19, 2017 Posts 4,753 Reaction score 5,512 Oct 2, 2018 #3 Haya bhana.kwamba unataka kupata mambo moto moto?
figisufigusi Member Joined Jul 21, 2016 Posts 13 Reaction score 6 Oct 2, 2018 Thread starter #4 chaliifrancisco said: Tumesitisha teuzi. Rudi ulipotoka. Click to expand... Teuzi za nin tena aisee???
chaliifrancisco said: Tumesitisha teuzi. Rudi ulipotoka. Click to expand... Teuzi za nin tena aisee???
Diason David JF-Expert Member Joined Aug 2, 2018 Posts 7,557 Reaction score 7,367 Oct 2, 2018 #5 Dirisha la usahili limefungwa bakia kuwa mtazamaji tyu
bbc JF-Expert Member Joined Jan 18, 2016 Posts 3,836 Reaction score 4,146 Oct 2, 2018 #6 figisufigusi said: Habari wanajamvi nmerudi kwenye jamvi kwa ajili ya kupata mambo moto moto.. Click to expand... Nitakuchanganyia kidogo upate angalau ya uvuguvugu
figisufigusi said: Habari wanajamvi nmerudi kwenye jamvi kwa ajili ya kupata mambo moto moto.. Click to expand... Nitakuchanganyia kidogo upate angalau ya uvuguvugu
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Oct 3, 2018 #7 Karibu sana JF mjukuu wetu..................
ledada JF-Expert Member Joined Oct 4, 2015 Posts 16,993 Reaction score 65,237 Oct 4, 2018 #8 Karibu sana
figisufigusi Member Joined Jul 21, 2016 Posts 13 Reaction score 6 Oct 4, 2018 Thread starter #9 ledada said: Karibu sana Click to expand... Asante Ledada