Mr Zed
New Member
- Dec 20, 2020
- 3
- 1
Utambulisho
Habarini wakuu, kama title inavyojieleza hapo juu Mimi naitwa Mr Zed ni Member mpya hapa JF, Kwanza kabisa napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu Kwa kutupa uhai hadi sasa tunapoelekea kumaliza Mwaka huu 2020, lakini pia nipende kuwashukuru sana wanamember wote wa JF kwa mada mbalimbali mnazoendelea kuzitoa humu na kuzijadili kwa kina. Wakuu nipende tu kusema naelimika na kufarijika sana ninapoingia humu JF na nimeamua kufungua account ili niwe Mwanachama na mfuasi wa Jf kindakindaki. Sina mengi wakuu Ahsanten sana.