Mtaunaki Member Joined Jan 2, 2021 Posts 14 Reaction score 5 Jan 8, 2021 #1 Habarini wanaJF, mimi Nina wiki moja tangu nijiunge na JF, nilijisahau kujitambulisha, ninaitwa ABDALLAH MTAUNAKI. Naomba ushirikiano wenu.
Habarini wanaJF, mimi Nina wiki moja tangu nijiunge na JF, nilijisahau kujitambulisha, ninaitwa ABDALLAH MTAUNAKI. Naomba ushirikiano wenu.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Jan 9, 2021 #2 Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT upate kufaidi.
Sim Card JF-Expert Member Joined Dec 30, 2019 Posts 881 Reaction score 1,601 Jan 9, 2021 #3 Umri tafadhali kuna nyuzi za kuchakatana huku uwe na kifua tu