Utambulisho

Utambulisho

Makungu jr

New Member
Joined
Mar 23, 2021
Posts
4
Reaction score
6
Habari zenu wapendwa, mi ni mtu mwanaume, ni raia mwema wa Tanzania ni mgeni katika mtandao huu naomba nitambulishe uwepo wangu hapa,
Ahsanteni sana!
 
Habari zenu wapendwa, mi ni mtu mwanaume, ni raia mwema wa Tanzania ni mgeni katika mtandao huu naomba nitambulishe uwepo wangu hapa,
Ahsanteni sana!
Karibu sana.
Tunaomba taarifa zako za kina ikiwa pamoja na vyeti vyako vya taaluma na kuzaliwa.

Hahahaha!... Natania karibu sana ndugu.
 
Back
Top Bottom