UTAMBULISHO

OMARY COMPLAISANT

New Member
Joined
Apr 2, 2021
Posts
2
Reaction score
2
Assalam aleykum warahmatullah wabarakatul.

Habari ndugu zangu wana jamii forum,Kwa majina naitwa Omary Athumani..ni kijana mpya katika platform hii,ndugu zangu naomba mpitie chapisho langu na ninaomba kusaidiwa kwa atakae jariwa.Ni kijana nilieacha shule kutokana na matatizo yangu ya kiafya.Nipokeeni kwa mikono miwili

Wabirah Tawfiq
 
Sawa kijana.
 
Karibu sana JamiiForums...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…