SHERIA NA KANUNI ZA JAMII FORUMS Tafadhali jiepushe na mambo yafuatayo: 1. Kumvunjia heshima, kumkejeli, kumtukana, mjumbe yeyote. 2. Kuleta katika JAMII FORUMS maelezo yenye maudhui mabaya, au kuweza kuleta maudhi yoyote kwa wajumbe ama kwa wingi wake, ukubwa wake, au mfumo wake...