J JOHNMNKENI New Member Joined Sep 17, 2021 Posts 3 Reaction score 4 Sep 18, 2021 #1 Mimi mgeni kwenye jukwaa hili hivyo tuko pamoja na naomba nishirikiane na nyie katika mijadala mbalimbali ndani ya platform hii na majukwaa yake yote. Thanks
Mimi mgeni kwenye jukwaa hili hivyo tuko pamoja na naomba nishirikiane na nyie katika mijadala mbalimbali ndani ya platform hii na majukwaa yake yote. Thanks
Bia Ya Moto JF-Expert Member Joined Aug 2, 2021 Posts 1,227 Reaction score 2,816 Sep 18, 2021 #2 Karibu sana,humu kuna vipuli,cock ups,smart,arrogant,intelligent nk Mkuu..uende nao sawa tu.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Sep 18, 2021 #3 Kila la kheri...
ledada JF-Expert Member Joined Oct 4, 2015 Posts 16,993 Reaction score 65,237 Sep 19, 2021 #4 Karibu mkuu
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Sep 20, 2021 #5 Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
Mr Pixel3a JF-Expert Member Joined Sep 15, 2021 Posts 5,710 Reaction score 8,579 Sep 20, 2021 #6 Karibu JF