Miss lb4lyf
Member
- Sep 3, 2022
- 30
- 19
- Thread starter
-
- #41
Sipasuki ubongo kw such things my dear haaa never afu kumbe unaumia na tozo aya bhana kumbe mpenda slope broo ndomana nilitaka shangaa mwanaume gani talkative ivi ohoo kumbe pole na tozooAta ww ukitaka muweke mwaya
Nitamuweka na kumtoa nitawaweka na kuwatoa kila nitakapo jiskia bhana we pamnana na tozo kwanza ukoNaona umeamua kumtoa kwenye avatar🤣🤣..
Usiwe serious sana, hapa tuna chitchat tuu...
Ukiwa serious sana plus hizi tozo utapasuka ubongo bureee...
Amna dada heshima yakoMuhitimu wa Mzumbe naona ushakutana na Wasomi wenzio mnatunishiana misuli
Ata nabishana basi wala, kumjibu mtu so mabishano ila ni kila mtu na anavochukulia then nashukuru kwa kwa ur opinion dearHahahahaaa JF ukiwa serious sana utaumia. Behind keyboard unakuwa serious kiasi hiki kweli......siku ukija ijua na kuizoea JF utajutia hata muda wa mabishano haya
Mzumbe ya nyokoo🤣🤣Muhitimu wa Mzumbe naona ushakutana na Wasomi wenzio mnatunishiana misuli
Mamdenyi hiyo twisheni au tuishieniMwambieni kuna wazee wanataka kufundishwa tuisheni
Hahaha unateseka aiseeeeeee jamani kumbe na bf wangu unamjua? Umenbatizia na sehemu nnayoishi ungejua dar ata sijawah kufika mshamba flani ivi napaskiaga tuuu dar hahah nimecheka mno aya kaka sio ata muhitimu mimi ka dada ka kazi kijijini kwetu uku ata fom 4 siijui tozoo izi ahaa zina meng'e nya ubongo aseeMzumbe ya nyokoo🤣🤣
Huyu slay queen wa mwananyamala kabisa...
Nimemtega kajaa mzima mzima🤣
Hakuna Mzumbe alumni anaweza muweka bf kwenyee avatar ya jf🙃
Hahahahaha,adi apo ushaonesha uoga bhana ata si jamaa yanga jamaniUmeweka picha ya jamaa yako kweny avatar hatumuogopi!! Hata pesa Zina picha ya nyerere muasisi wa ccm ila chadema wanatumia na wanazo kibao.