Utambulisho

Utambulisho

BabuFey

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2023
Posts
1,659
Reaction score
2,913
Naitwa Mbwana a.ka Babufey naomba mnipokee ni mwanachama mpya ila msomaji wa JF kwa miaka kumi na tano,naona sasa nami niwe nachangia
 
15 years? Surely ulikuwa unasoma comments zetu na nyuzi zetu bila kuchagia.
 
Naitwa Mbwana a.ka Babufey naomba mnipokee ni mwanachama mpya ila msomaji wa JF kwa miaka kumi na tano,naona sasa nami niwe nachangia
Umetunyonya sana mawazo yetu kwa 15 yrs bila kuchangia lolote aisee.... huu ni ufisadi pia
 
Back
Top Bottom