BabuFey JF-Expert Member Joined Feb 13, 2023 Posts 1,659 Reaction score 2,913 Feb 22, 2023 #1 Naitwa Mbwana a.ka Babufey naomba mnipokee ni mwanachama mpya ila msomaji wa JF kwa miaka kumi na tano,naona sasa nami niwe nachangia
Naitwa Mbwana a.ka Babufey naomba mnipokee ni mwanachama mpya ila msomaji wa JF kwa miaka kumi na tano,naona sasa nami niwe nachangia
C Captain 666 JF-Expert Member Joined Nov 5, 2021 Posts 660 Reaction score 1,236 Feb 22, 2023 #2 Karibu Sana. Naitwa captain nafurahi kuona ujio wako
Penologist JF-Expert Member Joined Feb 25, 2019 Posts 790 Reaction score 1,923 Feb 22, 2023 #3 15 years? Surely ulikuwa unasoma comments zetu na nyuzi zetu bila kuchagia.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Feb 23, 2023 #4 Karibu sana JamiiForums...
mludego JF-Expert Member Joined Mar 16, 2013 Posts 2,597 Reaction score 3,565 Feb 23, 2023 #5 BabuFey said: Naitwa Mbwana a.ka Babufey naomba mnipokee ni mwanachama mpya ila msomaji wa JF kwa miaka kumi na tano,naona sasa nami niwe nachangia Click to expand... Umetunyonya sana mawazo yetu kwa 15 yrs bila kuchangia lolote aisee.... huu ni ufisadi pia
BabuFey said: Naitwa Mbwana a.ka Babufey naomba mnipokee ni mwanachama mpya ila msomaji wa JF kwa miaka kumi na tano,naona sasa nami niwe nachangia Click to expand... Umetunyonya sana mawazo yetu kwa 15 yrs bila kuchangia lolote aisee.... huu ni ufisadi pia
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Feb 23, 2023 #6 Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.