Utambulisho

Ukisha kua mwenyeji hapa JF ni lazima utaanzisha ID nyingine kabisa,na hii hutoitumia tena kwa kosa ulilofanya lakuweka picha yako hapa.
Kwa picha hiyo atashindwa kuenda na trend ya JF ya kila mtu kuwa mjasiriamali mwenye mijengo ya maana, ndiga za haja na pisikali.

Kwa hiyo yeboyebo ya yanga na socks ataishia kupopolewa tu na matajiri wa humu.

Ila watu wa design hii wakija kuzoea JF wanajifanya wajuaji balaa.
 
kuonyesheni alivyotokelezea ki mjini mjini. Kamuita msela wake kabisa ampige picha special ya utambulisho wa JF.
sawa kaka nashukuru kwa matusi yakoo [emoji2957][emoji2957]
 
umejuaje kiongozy [emoji1787][emoji1787]
 
Kweli kabisa muzeye, ila mwamba kapuyanga mbaya km mjukuu wa Dr Shika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…