Utambulisho

sogoGeniuzz

New Member
Joined
Jul 17, 2023
Posts
2
Reaction score
2
Habari za wakati huu?

Ninatumai wewe unaesoma ujumbe huu ni mzm wa afya ila kama una changamoto ya kiafya pole sana Mwenyezi Mungu akupe wepesi, mie ni mgeni humu na ni Mwanasheria ninaejipambania katika chuo kikuu cha SAUT - Mwanza. Ninaomba ushirikiano toka kwenu ninyi. Ahsante sana![emoji120]
 
Ukiwa km mwanasheria chipukizi unauzungumziaje mkataba wa dp ni mzuri au mandazi
 
Karibu sana JamiiForums...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…