utambulisho

emmi

Member
Joined
Apr 19, 2012
Posts
11
Reaction score
2
nawaomba munipokee mimi mgeni,
natanguliza shukrani.
 
karibu sana. wewe ni me au ke?
 
Emmiliana karibu sana,ila hapo nimejifanya mtabiri kuongezea maneno ktk Nick name yako. Kama nimekosea niwie radhi sana zaidi karibu.
 
asante sana kwa ufafanuzi. mimi ntakua mwenyeji wako. chochote unacho ona kinakutatiza niulize mimi tu. karibu sana. je umeolewa au bado?
 
usijali,huo ni mwendelezo wa jina langu.
 
asante sana kwa ufafanuzi. mimi ntakua mwenyeji wako. chochote unacho ona kinakutatiza niulize mimi tu. karibu sana. je umeolewa au bado?

asante kwa kuwa mwenyeji wangu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…