utambulisho

utambulisho

specialone

New Member
Joined
Jul 13, 2012
Posts
1
Reaction score
0
hello dear distinguished official, ladies and gentellman, kwa mara ya kwanza najitokeza katika jamii forum ili niweze kuwa na nyinyia katika kutoa michango thabit itakayoleta manufaa kwa Taifa letu, naomba munipokee na munipa mashirikiano mazuri.

ni mimi Mtanzania mwenzenu mpenda maendeleo (specialone)

natanguliza shukurani kwenu kwa mashirikiano yenu na mapokezi yenu
 
Karibu mpaka ndani chagua mwenyewe pa kujimwaga.. Mkekani/jamvini!
 
barbecue.gif
 
Back
Top Bottom