utambulisho!

utambulisho!

josson senior

New Member
Joined
Apr 12, 2013
Posts
1
Reaction score
0
sikuwahi kufikiri kuwa humu,lakini kazi nzuri za wahusika wengi zimenivuta,pia kazi mbaya za wachache comments za matusi,nguvu za maneno zimeniita kujua kuwa tuna kipande cha watu katika jamiiya vijana wa kuelimishwa,kujua kuyaonja maneno yao kabla ya kuyatema,hii ni sehemu ya democrasia angalau kujua yaliyo ndani ya mwenzako au adui,yakufundisha mbinu rahisi na fanisi,hii ndo sera ya vyama na mataifa yenye nguvu ''usimzibe mdomo,atapata hasira,mwache apayuke umjue vema''
 
Back
Top Bottom