salimmagogo
New Member
- Jun 7, 2013
- 1
- 1
Karibu sana jamvini mgeni.Jamani hamjambo ? mimi ni mgeni wenu na mtanzania mwenzenu, nategemea kujifunza mengi kutoka kwenu, shukran.
Mbona id yake inajieleza kabisa.hatujambo, heshma yako.
jinsia yako tafadhali.
karib sana jamvini.
Jamani hamjambo ? mimi
ni mgeni wenu na mtanzania mwenzenu, nategemea kujifunza mengi kutoka
kwenu, shukran.