ndugu wana JF,napenda kutumia fursa hii adhiim kujitambulisha kuwa mwana jukwaa!Hii ni kutokana na mada mbalimbali ambazo nimekuwa nikizisoma kupitia mitandao mingine kama FB hivyo nami nikaona nijiunge ili niweze kuwa nikichangia moja kwa moja ktk mada hizo.
Pamoja tunaweza!
Pamoja tunaweza!