Shakidinkili
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 458
- 174
Karibu sana jamvini mzee.Hello hello Wanajamiiforum. Ninabisha Hodi tena kwa mara nyingine. Nilikuwepo miaka ya nyuma ila niliondoka kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu. It is my expectation that all of you will say KARIBU SANA MZEE. Aksanteni.