Hodii hapa jamvini na wasalimia enyi ndugu zanguni wote Asalaamaleykum popote pale mlipo, ipendeni inchi yenu,lindeni amani na upendo vilivyopo ktk nchi hii ilojaa kili aina ya rasilimali lkn wananchi walio wengi bado ni masikini. Nisiwachoshe ndugu zanguni...... Naombeni mnikaribishe tushirikiane, tukosoane, tuelekezane, tupeane habari, ili tuendelee kulijenga taifa letu tukufu.