Wenyeji nimekuja tushiriki pamoja katika mada mbalimbali, ni mgeni tusaidiane kwa yale ambayo nitaona mapya nisaidiwe kuelekezwa kv, kuna neno uni PM sijui maana yake, nilikutana na neno hili kwa vile nilianza kupitia dondoo baadhi kabla sijajitambulisha.
Asante.
Asante.