Utambulishooo

Utambulishooo

nonoqueen

New Member
Joined
Mar 8, 2021
Posts
2
Reaction score
5
Habar ya wakat huu wapendwa mimi ni mwanachama wa jf nilikuwepo muda tangu 2021 lakin sijajitambulisha kwenu...naombeniii mnipokeeee na ni fresh graduate natafuta internship ilii kupata experience mbalimbaliiii.......naomben mnipokee
 
Karibu sana Mkuu.

Jina lako bila shaka linasadifu yaliyomo.

Nonoqueen
Nono- yenye nyama nyingi, mafuta, siyo kimbaumbau
Queen- malkia

Hivyo wewe ni Malkia uliyejaa. Mwenye nyama na mafuta yake.

Mashallah!. Karibu jukwaani.
 
Back
Top Bottom