Utambuzi wa madini

christopher marian

New Member
Joined
Sep 2, 2014
Posts
2
Reaction score
0
Habari wadau.......
ndugu wadau nina mawe ya rangi aina ya zambarau ambayo yanapitisha mwanga hadi mwisho sasa sijajua hayo ni madini gani na kila nikiuliza watu kila mtu ananiambia jina lake mwingine aliniambia alexndrite na majina mengine ambayo siyajui kwa kuwa mimi c mtaalamu wa mambo ya madini, hivyo naomba msaada kwenu wadau kwa utambuzi zaidi
 
Maelezo ya tpmazembe ni sawa. Ili upate msaada zaidi, hebu funguka - yamechimbwa kutoka sehemu gani hapa nchini? Ukijua source, ni rahisi kujua aina. Kwa ushauri zaidi, hebu yapeleke aidha Madini Kunduchi pale watakupimia na kukupa jibu sahihi au nenda Tanzania Minerals Agency (TMA),nadhani wako Mikocheni Area, hawa ni wakala wa Serikali watakusaidia kujua ni aina gani, thamani yake hata kukukunganisha na wanunuzi. Kwa maelezo zaidi ni PM.
 

Ni pm nikupe whatsapp number unilushie picha
 
Ya pige picha tuyaone tutakupa ushauri mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…