rasheedommy
Member
- Feb 28, 2014
- 5
- 4
Habar za Saa hiz wana jf napenda kuuliza na kutambua. Mwanamke anauwezo wa kutambua kama amesha nasa ujauzito ndani ya sku ngap? Toka suku ya mimba ilipo tunga. Ahsanten sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi pia nataka kuuliza..Ujauzito unaanza kujulikana kwa kipimo baada ya siku 14.
Kutambua ni swala lingine, wengine wanajigundua baada ya wiki mbili kupita, wengine hata mimba ya miezi mitatu, wengine mitano inategemea na mtu anavokua aware na mabadiliko ya mwili, wengine ni new experience hajui kitu kwahiyo haelewi hadi mimba inakua kubwa
Uhakika ni kupima tu.
kupatwa kwa moyo mazima.kweli kapime tu mimbamimi pia nataka kuuliza..
hivi unaweza kuwa na mume au mpenzi
halafu ukajikuta umezidi kumpenda gafla iasi kwamba bila yeye kuwa karibu na wewe hufanyi kitu, mfano hutaki kula.
je hio pia ni dalili ya ujauzito au ni nini?
kwahiyo inawezekana?kupatwa kwa moyo mazima.kweli kapime tu mimba
sijui kwa kweli sijawai kuwa mjamwepesikwahiyo inawezekana?
Ha ha ha ujauzito bana is moooo psychologicalmimi pia nataka kuuliza..
hivi unaweza kuwa na mume au mpenzi
halafu ukajikuta umezidi kumpenda gafla iasi kwamba bila yeye kuwa karibu na wewe hufanyi kitu, mfano hutaki kula.
je hio pia ni dalili ya ujauzito au ni nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwenzangu kama ndo mimbasijui kwa kweli sijawai kuwa mjamwepesi
kama mapenzi mode basi mtihaniHa ha ha ujauzito bana is moooo psychological
Pima tu ili uwe na uhakika zaidi, Inawezekana ikawa mimba au mapenzi mode activated
Hahaaa!mapenzi mode activated with HDHa ha ha ujauzito bana is moooo psychological
Pima tu ili uwe na uhakika zaidi, Inawezekana ikawa mimba au mapenzi mode activated
Dalili ya ufala hiyo, siyo ujauzitomimi pia nataka kuuliza..
hivi unaweza kuwa na mume au mpenzi
halafu ukajikuta umezidi kumpenda gafla iasi kwamba bila yeye kuwa karibu na wewe hufanyi kitu, mfano hutaki kula.
je hio pia ni dalili ya ujauzito au ni nini?
Nashkuru sn for your good explanationUjauzito unaanza kujulikana kwa kipimo baada ya siku 14.
Kutambua ni swala lingine, wengine wanajigundua baada ya wiki mbili kupita, wengine hata mimba ya miezi mitatu, wengine mitano inategemea na mtu anavokua aware na mabadiliko ya mwili, wengine ni new experience hajui kitu kwahiyo haelewi hadi mimba inakua kubwa
Uhakika ni kupima tu.
Habar za Saa hiz wana jf napenda kuuliza na kutambua. Mwanamke anauwezo wa kutambua kama amesha nasa ujauzito ndani ya sku ngap? Toka suku ya mimba ilipo tunga. Ahsanten sana
Hahahaha kajaribu kupima PT inauzwa 1000 pharmacy zote Tzkwahiyo inawezekana?
Wengine wanasemaga mara tu mwanaume anapomaliza kumwaga wazungu wake mwanamke unawez sikia kichefuchefu sas hapo mimba inakua inawez ikawa imeingiaMimba unaweza ukaipima na ikaonekana hata baada ya wiki moja.
mimi pia nataka kuuliza..