Utambuzi wa ujauzito swali kwenu jaman!!!!!

rasheedommy

Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
5
Reaction score
4
Habar za Saa hiz wana jf napenda kuuliza na kutambua. Mwanamke anauwezo wa kutambua kama amesha nasa ujauzito ndani ya sku ngap? Toka suku ya mimba ilipo tunga. Ahsanten sana
 
Ujauzito unaanza kujulikana kwa kipimo baada ya siku 14.
Kutambua ni swala lingine, wengine wanajigundua baada ya wiki mbili kupita, wengine hata mimba ya miezi mitatu, wengine mitano inategemea na mtu anavokua aware na mabadiliko ya mwili, wengine ni new experience hajui kitu kwahiyo haelewi hadi mimba inakua kubwa
Uhakika ni kupima tu.
 
mimi pia nataka kuuliza..
hivi unaweza kuwa na mume au mpenzi
halafu ukajikuta umezidi kumpenda gafla iasi kwamba bila yeye kuwa karibu na wewe hufanyi kitu, mfano hutaki kula.
je hio pia ni dalili ya ujauzito au ni nini?
 
kupatwa kwa moyo mazima.kweli kapime tu mimba
 
mimi pia nataka kuuliza..
hivi unaweza kuwa na mume au mpenzi
halafu ukajikuta umezidi kumpenda gafla iasi kwamba bila yeye kuwa karibu na wewe hufanyi kitu, mfano hutaki kula.
je hio pia ni dalili ya ujauzito au ni nini?
Ha ha ha ujauzito bana is moooo psychological
Pima tu ili uwe na uhakika zaidi, Inawezekana ikawa mimba au mapenzi mode activated
 
Kutambua una ujauzito ni kupima baada ya wiki mbili (siku 14) tangu ufanye kwichikwichi.
 
Mimba unaweza ukaipima na ikaonekana hata baada ya wiki moja.
 
Wengine hadi anajifungua anakuwa hajui kama alikuwa na mimba!
 
mimi pia nataka kuuliza..
hivi unaweza kuwa na mume au mpenzi
halafu ukajikuta umezidi kumpenda gafla iasi kwamba bila yeye kuwa karibu na wewe hufanyi kitu, mfano hutaki kula.
je hio pia ni dalili ya ujauzito au ni nini?
Dalili ya ufala hiyo, siyo ujauzito
 
Nashkuru sn for your good explanation
Habar za Saa hiz wana jf napenda kuuliza na kutambua. Mwanamke anauwezo wa kutambua kama amesha nasa ujauzito ndani ya sku ngap? Toka suku ya mimba ilipo tunga. Ahsanten sana
 
Mimba unaweza ukaipima na ikaonekana hata baada ya wiki moja.
Wengine wanasemaga mara tu mwanaume anapomaliza kumwaga wazungu wake mwanamke unawez sikia kichefuchefu sas hapo mimba inakua inawez ikawa imeingia
Sijui kama n kweli lakin
 
mimi pia nataka kuuliza..
hivi unaweza kuwa na mume au mpenzi
halafu ukajikuta umezidi kumpenda gafla iasi kwamba bila yeye kuwa karibu na wewe hufanyi kitu, mfano hutaki kula.
je hio pia ni dalili ya ujauzito au ni nini?

Jiangalie inawezekana umo katika ile idadi ya mmoja kati ya wanne ni mental disorder

Hahahaha natania tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…