gwamipascal
Member
- Mar 28, 2020
- 15
- 23
Naomba kuongezewa maarifa au ufaham juu hili swala la vyeti fake. Namaanisha hiv swala la kutambua vyeti fake linafanywa kwa style gan? Je, watumia macho ya kawaida kwa kutazama tu au kuna mashine maalum inayotumika kuvitambua? Kama ni macho ya kawaida bas ni sawa lakin kuna njia tofaut bas hapo ndo ninapata mshangao huu hapa
Kuna jamaa yangu (jina kapuni for security reason) anatumia cheti cha form4 fake kilitengenezwa kariakoo. Nilimuonya sana kua atakuja kupata majanga na hilo gamba bandia lakin cha ajabu anazidi kutoboa tu. Katumia hilo gamba kujoin chuo fulan Dar akasoma coz ya manunuzi na ugavi akaja akaomba kazi aka peleka kabrasha zake ikiwemo hilo gamba fake na kazi akapata. Ameshafanya kazi kampuni kama 3 anatunda na hilo hilo gamba la kariakoo.
Mnielewa wakuu hapa sina tatizo na huyu jamaa kwanza ni rafiki yangu mkubwa ila nahitaj tupeane mawazo juu ya zoezi la kuchunguza vyeti fake linafanyikaje kwa mfumo upi. Na kuna ofis za serkali pia kuna walio tumbuliwa vyeti fake lakin pia kuna waliopona na wanapiga kazi humo humo na vyet hivyo hivyo. Mechanism ikoje hapo?