Mkuu hapo kila mtu amekosea!Ili mtu aunde account kisha aanze kukutongoza upya atakua hakuamini.kutomuamini mpenzi wako wakati tayari mu katika uhusiano ni kosa, kwa mantiki kwamba upo katika uhusiano usiouamini!Kwa upande wa pili alietegeka nae ana kosa!kama wewe ni muaminifu na unathamini uhusiano ulionao hupaswi kupokea maombi mapya!kimsingi unapaswa kuwa muazi na mwaminifu vilevile!Sasa kuhusu kitu cha kufanya mtakaa halafu mtabisha kwa hoja!atakae shinda kwa hoja atapendekeza suluhisho!Unakuta unachat na mpenzi wako kila siku kwenye social network kama hii,facebook,my space e.t.c,but mwenzako anaunda account fake na kuanza kukutongoza upya ili ajue to kama una msimamo.Baadaye unajikuta umetegeka na unakuja kugundua ndo yeye.
nani hapo mwenye kosa?je utamfanyeje?
Mmmmhhhh
huwezi fanya kitu
maana kakukamata Live..
na kasha jua you are not honest..?
bakini JF ambapo unamtongoza
mkeo/mumeo gf/bf pasipo kujua..
Hata baadaye mkija toana ngeu
wote mnamakosa...
asanteeni
kitendo cha kunichunguza inaonyesha ananipenda ila kukata mzizi wa fitna nitamwambia nilitaka kuwa na wawili ili akinitenda nisiumie sana ila kwa sababu yeye ni chaguo la mungu,kaamua kupishia mbali kwani yeye ni muweza na kaamua kumpitisha yeye kwa uweza wake.
hapo nadhani nitakuwa nimeuwa tembo kwa ubua.