gwendoline mushi
Member
- Mar 16, 2012
- 23
- 2
Kuna mwanaume anamke wake mzuri sana .mwanaume huyu yeye haishi kusifia wanawake kwenye internet na kuomba namba za simu. Na kuwaita Majina dear.
sasa mkewe inamuuna coz mume wake huwa hamsifii hata km kapendeza la na akijiangalia wale wanao sifiwa internet amewapita.
Anaumia sana anashindwa kuelewa shida ni nini?Na anamtimizia mahitaji yote km mwanamke anayotakiwa kumpa mumeo
Ushauri jamani coz hajamwambia mme wake alifuma hizo sms kwenye Internet(laptop ) mume alisahau ku logout .

kuna wanawake wana vifua i see.....
kwa nini asingemuuliza hapo hapo mumewe kuhusu hiyo tabia?
:wink2: ila kama vipi na yeye aanze kusifia wakaka mahandisamu na mapicha yao loh!!!!(dont try this at home....)
Facebook mtu anakutongoza kaweka kabisa kwenye wall pichayake ya harusi
Ukimuuliza na huyo bibi harusi hapo oooh alifariki njianitulivotoka honeymoon
Mahusband wa dot com bwana? tunalo
Asiogope lugha ya internet , aweke mbele kuwa yeye amewekwa ndani na tatizo liwepo pale atapopata ushahidi wa physical contact nao.
Hahahaha- kidogo umemek my day kwa hii lakini bado nataka kucheka tena(ili niende sawa na hizi stress za life)
Patachimbika hapo kwa nyumba aisee....
haaa! mume hajatulia kabisaaa wife jaribu kucheck jina la hao warembo wake wa huko internet then msuprise kwa kumwambia amsalimie huyo dear wake wa internet, am sure atashtuka then mpe ukweli wake ili aache kamchezo yaani amenogewa mpaka anasahau ku logout mijanaume mingine bwana ndo migume migume hii