Huyu mwanaMama inabidi aweMjanja wa Akili...kipimo cha kwanza cha mwanamke Mzuri ni 'AKILI' hvyo vyote(uzuri wa sura,tabia,hekima,busara) nimatokeo ya akili? Sasa hapa inabidi amuulize mumewe anampendea nn? na anajivunia ni kutoka kwake? Akijibu jibu lolote? Amuulize tena Uzuri wa wanawake wote duniani anafikiri nani ni namba moja kwake? Akimjibu ni yeye? Amuulize tena atajiskiaje kama atakuja(mumewe) na rafk yake yeye(mkewe) aanze kumsifia rafk yake handsome na amuite dear? Akinyamaza amwambie ameona namna mambo na sifa alizokuwa anawapa hao mademu ktk fb. Je ni busara?