Utamjibuje?

Utamjibuje?

medsebapol

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2015
Posts
327
Reaction score
225
Imagine unasafir mdogo wako ana drive kukupelek air port/bus station mkiwa kwenye gar dogo ana play wimbo 'hainaga USHEMEJI tunakulagaa tu'...kumbuk mkeo/mumeo yeye hasafr..nipen mawazo yenu apa utafany nin.[emoji117] [emoji117]
 
Kwan sini wimbo kama nyimbo zingine
 
Hizo nyimbo za vijana wa dot com hua zinasikilizwa na kizazi kinacho fanana nao.
Kwanza haiwezekani mdogo wako akujue kwamba hautaki wala kuendekeza upuuzi kisha apige nyimbo za kipuuzi.
Na ukiona mdogo wako anapiga nyimbo kama hiyo mbele yako, basi bilashaka nawewe utakua unatabia kama ya mdogo wako, na hapo ndipo tunakuja kwenye kiswahili cha ndege wafananao huruka pamoja.
 
Back
Top Bottom