Utamjuaje mwanamke mruka ukuta?

Nilipata kusikia mahali kuwa Wanawake wanaovaa vikuku na kunyoa kipara eti ni watoa nyuma??? Je kuna ukweli juu ya hili?
 
Duh!!!!
 
Ndio maana mvua hazinyeshi kwa wakati huwa zinakuja kwa ajili ya huruma ya wadudu na wanyama ambao hawana tabia ya kumuasi Mungu vinginevyo gharika ingetuhusu wanadamu wa hiki kizazi cha sasa
 
Hongera ni mbobezi mmmnoo hadi kwa vigawanyo vya %
 
Toilet paper! Kivip?
Toilet pepper hufyonza au kukausha uchafu utokao kwa njia ya haja kubwa ila wabongo hunawa kwa maji so unyevunyevu ni njia rahisi kwa virus yeyote kukaa na pia uchafu wenye joto huzalisha funza.... So boy anapo do that direct virus huingia ktk mirija ya dhakari(mboo) so kifuatacho ni uozo my dear friends magonjwa haya huweka usaha so halijionyeshi mda huo ila ni badae sana ... Nawasilisha
 
Asante kwa elimu mkuu
 
Ndio maana mvua hazinyeshi kwa wakati huwa zinakuja kwa ajili ya huruma ya wadudu na wanyama ambao hawana tabia ya kumuasi Mungu vinginevyo gharika ingetuhusu wanadamu wa hiki kizazi cha sasa

Mkuu mwanzo umeelezea mvua inanyesha kwa kuhurumia wadudu na viumbe wengine wasio muasi mungu

Mwishoni ukaelezea gharika.

Nnachojua mimi gharika lilitokea baada ya mvua kuzidi.

Mpaka hapo nadhani hujaeleweka hebu weka vizuri comment yako

Je

1. Bila hivyo mvua ingezidi au

2. Ukame ungezidi

Umetuchanganya sana
 
Gharika na ukame nimoja ya adhabu walizopewa baadhi ya vizazi na moja ya vizazi vilivyo gharikishwa walikua nadhambi hii
 
Mwandende mimi mwenyewe nishawahi kufanya hizo kazi za meli mpaka tukaanza kufanya kazi za docks tuu hapo globe maline,De beers oil rig,Hazard marine hapo hapo Cape Town nachokuambia uchange uende viwanja vingine hiyo ni sehemu ya kuchanga tuu maana ni rahisi kuchanga SA. kuliko sehemu zingine...SA hata isemwe vibaya bado ni kiwanja bora Africa na hata baadhi ya Nchi za ulaya huwezi kufananisha jinsi ya upatikani wa fedha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…