Utamkumbuka Dkt. Faustine Ndugulile kwa lipi?

Precious Diamond

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2023
Posts
593
Reaction score
1,376
Wakuu salam,

images - 2024-11-28T074731.453.jpeg

Binafsi simjui kivilee huyu bwana ila ni moja ya kifo cha kiongozi ambacho kimeniuma. Nimeanza kumfahamu hivi karibuniakiwa mbunge karibia na ushindi wake WHO.

Tar 27/8/2024 tukapata habari njema ya yeye kuwa Katibu Mkuu WHO, tar 27/11/2024 tukapata habari za kuhuzunisha juu ya kuondoka kwake!

Wanaonizunguka wengi wanamfahamu kama mtu mkarimu na kiongozi mzuri, natumai kupitia uzi huu hata wenzangu na mimi Gen Z watamfahamu vizuri!

Twende kazi Wakuu
 
Atakumbukwa kwa ungwana, ukarimu na uchapakazi wake hodari katika kuwaletea wanainchi wa kigamboni maendeleo 🐒
 
2010 tulilitaka hilo jimbo ikatupelekea kupoteza mil 100 za pension,mpaka sasa tupo huku kijijin tuna hali mbaya

Shikamoni wajumbe
 
Back
Top Bottom