Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 593
- 1,376
yeye ana unafuu gani? si wale wale?Alimpiga Chini Bashite kura za maoni.
Atakumbukwa kwa ungwana, ukarimu na uchapakazi wake hodari katika kuwaletea wanainchi wa kigamboni maendeleo 🐒Wakuu salam,
Binafsi simjui kivilee huyu bwana ila ni moja ya kifo cha kiongozi ambacho kimeniuma. Nimeanza kumfahamu hivi karibuniakiwa mbunge karibia na ushindi wake WHO.
Tar 27/8/2024 tukapata habari njema ya yeye kuwa Katibu Mkuu WHO, tar 27/11/2024 tukapata habari za kuhuzunisha juu ya kuondoka kwake!
Wanaonizunguka wengi wanamfahamu kama mtu mkarimu na kiongozi mzuri, natumai kupitia uzi huu hata wenzangu na mimi Gen Z watamfahamu vizuri!
Twende kazi Wakuu