utamsaidiaje huyu?

Bemba

Senior Member
Joined
Jun 9, 2016
Posts
128
Reaction score
57
unakuta mtu anaimba kwa sauti kubwa then wimbo wenyewe hajui anaimba uongo(anachapia)
nimewakuta mara nyingi watu kama hao....wanaimba uongo mtupu unao fanania na ukweli.
mi hua nacheka kimoyoyo muimbaji acjiskie vibaya[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Umewakuta wanaimba wimbo gani? Imba tukusikie kama ww unajua usije ukawa unacheka kumbe we mwenyeww ujui
 
Umewakuta wanaimba wimbo gani? Imba tukusikie kama ww unajua usije ukawa unacheka kumbe we mwenyeww ujui
Wenawe [emoji1] [emoji1] Mpaka niseme kakosea that means naujua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…