utamu uko wapi katika mapenzi?

Tundazuri

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2012
Posts
1,932
Reaction score
2,525
Jamani mm nataka kujua utamu uko wp katika mapenzi maana watu hawatulii kabisa
 
kwani kuna kiifaaa cha utamu?
 
hayo ndo matamu ya mapenzi wakati mwingine unajitahidi kumfanyia hivyo mwenzi wako lakn unaanza kujuta kwa nn niliingia kwenye mahusiano yaan mahusiano ya siku hizi ni majuto mtindo mmoja
 
mkigombana ndo utamu unakuja?
 
Sikio likiwasha unachukua cotton budy unakuna ta'atibuu. Kudadadeko.
 
nitajaribu kucheza ila mpigaji lazima apige vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…