utamu uko wapi katika mapenzi?

Utamu wa mapenzi uko katika kumkubali, kumvumilia, kumpenda, kumjali, kumheshimu, kumkumbuka, kumthamini, kumsaidia, kumtendea mema nk mpenzi wako. Anza na hivo uone matokeo yake.

NAKUPA BONGE LA LIKE!!...Amazing Analysis ndugu.
 
uwazi na upendo wa kweli!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Utamu wa mapenz ,kumpata parfect match au choice ya moyo wako,na mukapendana kiukweli,muhaheshimiana,
 
Jamani mm nataka kujua utamu uko wp katika mapenzi maana watu hawatulii kabisa

kila mtu anaona utamu wa mapenzi kwa jinsi na mahali pa yeye mwenye,kuna mwingine haoni raha mpaka mpigane kidogo,mwingine akiambiwa tu anapendwa basi inakua ni mautamu A-Z,wengine mpaka afanye fu**** ndo apo huona raha na utamu wa mapenzi. Kwa jinsi iyo basi hata ukisema utamu wa mapenzi haupo ur just right b'se performer is the one who knows it so jaribu kufanya afu uje jamvini utueleze we huo utamu uliuona wapi,
 
distazo Well said,

Hapo ndio penyewe kabisa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…