Utamu utamu utamu eeeeeeeeeeeeee ngwengwele ngwengwele!!!nimeona uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Utamu utamu utamu eeeeeeeeeeeeee ngwengwele ngwengwele!!!nimeona uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
mmh jamani dunian watachomwa watu
jana nilikuwa nimeenda kumwacha b mkubwa sehemu ya kitchen party uko mbezi
wakati wa kumchukua wakawa bado kidogo ila ukumbi ulikuwa mzuri
wa vioo na jamaa wamejipnga..sherehe ikiwa inaendele mc nikamwonaa amevaa
kimini balaa kama katumwa ,,mara akaomba wimbo wa rose mhando wa utamu wa YESU

Wapendwa nilisogea nikampigia mama naomba twende nyumban nawapenda yule binti
wakati akaanza kukata viuno mara ilipofika sehemu ya utamu wa YESU akaanzaa kijishika mdomoni
ikifika sehemu ya nimeona utamu wee anajishika chini yaani mkono mzima nikasema uwwwwwwwwwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

nikasema jamani ni shida ndio zinafanya hivi ama....labda niwaeleze nyie mabinti mnaotarajia kitchen party zile
mionjo ya ma mc ndio imearibu ndoa nyingi sana leo hii wengine waanahesabu ndege pale segerea kisa kupiga kisu
mwenza..wenye akili wameamua kuwaita wamama wenye kumjua Mungu na kuwafundisha jinsi ya kuishi na wenzenu
yaaaaaaaniiii nawambia kila kitu cha kumfundisha mumeo ati asitoke kiko kwenye biblia ukitka styles ziko kwenye wimbo uliobora
yaaaaaaaaaaaanni hao ma mc mnajaza mapepeo tu kwenye ndoa zenu....shiriki kuwajali wapendwa wenu
 
Nikioa my wife hafanyiwi KP...hili nilishalisema b4!!
 
pdidy huo n mtazamo wako na accordng 2 ur thnkng capact,uliangalia 2 kwa mbal ukajaj lakn unaweza kuta hyo n sehemu ndogo ya sherehe,fanya uchunguz si kukurupuka 2 na kusema ktchen n mbaya.
 
Kitchen Party kwa asilimia zaidi ya 90 ni Upuuzi hazifai na kama tungekuwa ni Taifa lenye maadili na malengo tungeshapiga marufuku vitu kama hivyo, mimi bado naamini katika mafunzo ya Dini na mila zetu, hasa mila zetu zilikuwa strong katika kumuandaa bint kuishi na Mume, haya mambo yanayofanywa mjini kuwa kitchen party malengo yake makuu ni ubunifu wa kibiashara na ndio maana utakuta kuna fedha za MC, Mpambaji, Music, Usafiri, Chakula etc etc.

Wakina mama na wazee wakijiji hawakuhitaji upotoshaji huo, na hizo kazi zote zilifanyika kwa kugawana majukumu, wale ambao hawana uwezo wa kupata mafunzo ya kifamilia chini ya mila na desturi zake ni bora ajipe mafunzo ya kidini kanisani au Madrasah! la sivyo hakuna kitu zaidi ya jehenam ya moyo.
 
Mke wangu lazima apate mafunzo, kichen party lazima afanyiwe ili aje anipe maujanja aliyopata huko pia! Kichen pat safi sana teh!
 
Hata ukliudhiana na mama atakuwekea ule wimbo wa "Hakuna Mwanaume Kama YESUUUU"
 
Huwezi kuamini lakini siku zote nadhania KP ni tafrija inayofanyika jikoni! Kumbe kuna mikono na nyimbo za akina Rose! Mmh!
 
Mi nachoshangaa ni eti mafundisho muhimu ya namna ya kuishi/kutenda ndani ya ndoa yatolewe kwa saa chache tu kwa binti na yamsaidie! Wizi mtupu!
 
Utamu utamu utamu eeeeeeeeeeeeee ngwengwele ngwengwele!!!nimeona uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ....................... why are u shouting??????!!!!!!!!!!

kwa kifupi ndoa hazifundishiki si chumbani wala ukumbini. each marriage is of its kind(unique) kushabihiana kwa tabia zenu ndani ya ndoa ndio zitakazowawezesha kudumu kwa ndoa au kuvunjika! mimi siamini katika mafunzo ya ndoa ya kwenye sherehe za kufundwa a.k.a kitchen party, labda mtazamo wa walio wengi ni kuanzisha Kparty kwa malengo ya kujipatia vyombo vya ndani.
 
Back
Top Bottom