unataka kutwambia kuwa hutaki kumpa pesa ya matumizi mkeo au?
mwanamme ndo kichwa cha familia, ukipewa hiyo kitu usipewe, pesa lazima uitoe uendeshe familia hata kama familia yenyewe ni wewe na yeye mkeo tu
Kweli eeeh, daaaa umenikumbusha leo Miss Mzumbe pale Magadu Mess.Lazima nikaone wale wanaovaa nguo za wadogo zao.
Akili inawaza weekend tu mwezio ...
Inaniuma sana kuona sisi wanaume tu ndio tunaotoa fedha au kuhonga chochote wanawake hasa baada ya kusex na hata kama ni gf wako mnae pendana sana au hata kama ni mlupo tu asubuhi lazima akitoa upepo kama bia kanywa, nyama kala na raha za sex tumekapata wote, sasa kwa nini mimi (mme) nikupe tena hela asubuhi na wewe (mke) sio kwamba ni changu kuwa unauza hio maneno? Jamani huu si unyonyaji na ukosefu wa demokrasia katika mapenzi? Tujadili.