Utamu wa Facebook.

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
61,672
Reaction score
178,673
Wewe kama ni mpiga pesa ya pombe kupitia mitandao ya kijamii, utamu wa hela upo Facebook.

Acha ushamba wa kuikataa fb , ukajifanya upo jf na na huko x ๐Ÿค”


Wewe nnje namambo yako ya msingi kama unataka pesa tamu ,tengeneza maudhui yako yaweke Facebook ,tafuta marafiki na wafuasi wako humo .

Kule kuna pesa hazina kazi na zinamwagwa kwako wewe mtengeneza maudhui mitandaoni, mwenye akili kubwa.
 
Najiamini kabisa tena katika masuala yanayohusu pesa kiwango cha kujiamini kinazidi.
Serious nielekeze
Hapo tutaongea nikiwa soba leo najilamba๐Ÿบ๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ