Utamu wa kitumbua

Utamu wa kitumbua

Vumbi la congo

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
666
Reaction score
981
Jaman sio siri kitumbua vitamu sana..tena mpishi awe msafi asiwe mchafu na asiviunguze sana viwe kati kwa kati yan vya brown na visiwe na mafuta mengi. Yani uchelewi kushiba,,hatari huwa vitamu sana
IMG-20151217-WA0009.jpeg
 
Mkuu achana na habari ya vitumbua yaan hata ambae hajawahi kuvila anavishobokea na akila haviachi maana utam wake hauna kifani aseeee....[emoji3][emoji3][emoji3]
Vitumbua vidogo ni vitamu sana kuliko vikubwa,kwasababu vidogo huiva vizur hadi ndani lkn vikubwa vingi vibichi ndani..mitaa ya kule Mwanza nyegezi kwa chini vyapatkana.kwa wingi
 
Yaani acha kabisa kitumbua kile cha mwanzo mwanzo ukile kikiwa cha motomoto hakijapoa kabla mpishi hajachoka,aaaah achakabisa
 
Nilvo kmbialia sasa Duu!!..... Ila asante mkuu niljua ni kitumbua kileeee!!! cha mwajuma nchokonoe
 
Mkuu achana na habari ya vitumbua yaan hata ambae hajawahi kuvila anavishobokea na akila haviachi maana utam wake hauna kifani aseeee....[emoji3][emoji3][emoji3]
tena usikubari kula kitumbua ndan ya mfuko hutokifaidi,,vito kwenye mfuko weka kwenye sahani anza kazi mwenyew utakubal
 
Back
Top Bottom