Vumbi la congo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 666
- 981
naona umewahi siti mkuuAhsante kwa taarifa
fasihi ni ngumu sanaPost yako ni tata, ina maana zaidi ya moja
Vitumbua vidogo ni vitamu sana kuliko vikubwa,kwasababu vidogo huiva vizur hadi ndani lkn vikubwa vingi vibichi ndani..mitaa ya kule Mwanza nyegezi kwa chini vyapatkana.kwa wingi
Sanafasihi ni ngumu sana
Vitumbua vidogo ni vitamu sana kuliko vikubwa,kwasababu vidogo huiva vizur hadi ndani lkn vikubwa vingi vibichi ndani..mitaa ya kule Mwanza nyegezi kwa chini vyapatkana.kwa wingi
Ubunifu....Jaman sio siri kitumbua vitamu sana..tena mpishi awe msafi asiwe mchafu na asiviunguze sana viwe kati kwa kati yan vya brown na visiwe na mafuta mengi. Yani uchelewi kushiba,,hatari huwa vitamu sanaView attachment 932417
tafsiri utakavyoielewa then shikilia hapo hapoPost yako ni tata, ina maana zaidi ya moja
uzuri vile vya mwanzo unakula haraka haraka uchelewi kushiba kwasababu vinanoga,,Yaani acha kabisa kitumbua kile cha mwanzo mwanzo ukile kikiwa cha motomoto hakijapoa kabla mpishi hajachoka,aaaah achakabisa
Nilvo kmbialia sasa Duu!!..... Ila asante mkuu niljua ni kitumbua kileeee!!! cha mwajuma nchokonoe
huyu mpishi anaonekana anakitumbua kitamu sanaUbunifu....View attachment 932574
tena usikubari kula kitumbua ndan ya mfuko hutokifaidi,,vito kwenye mfuko weka kwenye sahani anza kazi mwenyew utakubalMkuu achana na habari ya vitumbua yaan hata ambae hajawahi kuvila anavishobokea na akila haviachi maana utam wake hauna kifani aseeee....[emoji3][emoji3][emoji3]
Amemaanisha kabisa na kapicha kawekaPost yako ni tata, ina maana zaidi ya moja
vuta picha kama huu ungekuwa wimbo alafu jamaa ndiye mkuu wa basataAmemaanisha kabisa na kapicha kaweka